Location

Location

Equipment

EguipmentII

tents, chairs and tents

tents, chairs and tents
tentschairsntables

Mobile toilets

Mobile toilets

Saturday, October 25, 2014

Harusi ya Robert na Beatrice. Ndoa Ilifungwa katika kanisa la Mt Joseph na baadae kufuatiwa na tafrija fupi iliyofanyika kwenye ukumbi wa Mirado - Sinza jijini Dar es salaam.

Beatice akiwa saluni 


Nice pose


Bibi Harusi akiwa kwenye gari kuelekea kanisani..



Pete kidoleni


Kuelekea serena kupiga picha..



Hiyo ni shela tuu.






Big up kwa mpambaji aliupendezesha ukumbi kadri alivyoweza..

Maharusi wakiingia ukumbini.. tazama shela ilivyo refu..

Wakati wa kukata keki..


Dancing time..

Wacha wee kijana akionesha uwezo 


Bw Harusi akikata keki ya ndafu

Mtoto akitoa shukrani zake kwa wageni waalikwa

Ladies in white looking mwaah..

1 comment: