Location

Location

Equipment

EguipmentII

tents, chairs and tents

tents, chairs and tents
tentschairsntables

Mobile toilets

Mobile toilets

Wednesday, October 30, 2013

Harusi ya Muyanga na Ruth ilifanyika kwenye ukumbi wa KILIMAKYARO Hotel Moshi, ndoa ilifungwa katika kanisa la Mfalme kristo Moshi mjini.

Bibi Harusi akipambwa saluni...


Ruth alipendeza sana..



Girls walipendeza pia..!



Wakielekea kanisani..



Pete kidoleni..

Maharusi wakitoka kanisani..


Hakika ukumbi ulipendza sana big up kwa mpambaji.



Kwenye msafara wa magari farasi nao wamo..
Mr & Mrs Muyanga Gama.



Kiss the bride...

Pozi ndani ya mobile studio..

Wakati wa kufungua Shampen..

Keki..
Makirikiri wakitoa burudani...


No comments:

Post a Comment