Dada Khadija akiwa saluni.. |
Hakika dada yetu alipendeza sana na nguo yake. |
Waoo pendeza sana.. |
Ni pozi tu sio kwamba anataka kulala. |
Wakati akiingia ukumbini |
Wakati wa keki sasa inaonesha ilikuwa tamu hiyoo... |
Champagne.. |
Lt Khadija akiwapa wazazi wake zawadi.. |
No comments:
Post a Comment