Bi harusi akiwa salun... Glambox- masaki |
Gauni la Bibi harusi na matron.. |
Hapa ni nje ya kanisa Azania Front -Posta baada ya misa ya ndoa.. |
Picha kwenye Garden- Serena hotel |
Bi. Harusi katika pozi ndani ya mobile studio.. |
Hakika Godwin na Upendo walipendeza sana... |
Wazazi wa pande zote mbili ndani ya mobile studio. |
Groom and Bestman.. |
Godwin katika pozi ndani ya mobile studio.. |
Cheers to every one!!!... |
Wakati wa kukata keki. |
Mr & Mrs Godwin Mende.. |
Wakati wa kutoa mkono wa pongezi kwa maharusi.. |
Bw. na Bi Harusi wakiwa katika picha ya pamoja na wanakamati.. |
Wanakamati wakiserebuka baada ya kutoa zawadi yao kwa Bw. na Bi. harusi. |
No comments:
Post a Comment