Location

Location

Equipment

EguipmentII

tents, chairs and tents

tents, chairs and tents
tentschairsntables

Mobile toilets

Mobile toilets

Tuesday, October 15, 2013

Send off party ya Nancy Mushi ilifanyika Shekina Garden- Mbezi beach tar 28th August 2013.


Tabasam jaman... Nancy na matron wake.


Nancy akiwa saloon Glambox masaki akirembwa...

Gauni na viatu vyake..

Dada Nancy alipendeza sana kiukweli anastahili pongezi zake...


Tazama sasa bi harusi akiingia ukumbini

Wakati wa kukata keki..



Cheers!!!!!.... 

Sio kwa kumbi za ndani tuu hata kumbi za nje tupo vizuri pia kwa picha...

No comments:

Post a Comment