Beatice akiwa saluni
Nice pose |
Bibi Harusi akiwa kwenye gari kuelekea kanisani.. |
Pete kidoleni |
Kuelekea serena kupiga picha.. |
Hiyo ni shela tuu. |
Big up kwa mpambaji aliupendezesha ukumbi kadri alivyoweza.. |
Maharusi wakiingia ukumbini.. tazama shela ilivyo refu.. |
Wakati wa kukata keki.. |
Dancing time.. |
Wacha wee kijana akionesha uwezo |
Bw Harusi akikata keki ya ndafu |
Mtoto akitoa shukrani zake kwa wageni waalikwa |
Ladies in white looking mwaah.. |
Nice wedding,. nice couple
ReplyDelete