Bibi Harusi na matron wakiwa saluni.. |
![]() |
Suzan |
Bi harusi wetu Suzan alipendeza sana.. |
Keki. |
Suzan akikata keki. |
Akimlisha matron keki. |
Suzan akimkaribisha James., mumewe mtarajiwa. |
Katika pozi. |
Picha katika mobile studio.. |
Bi harusi akiwa na maids wake. |
Diamond wa moshi akitumbuiza |
Mkono wa pongezi kwa Bi Suzan. |
Ni wakati wa zawadi sasa. |
No comments:
Post a Comment