Hii ilikuwa ni harusi ya Yeromin na Lizbeth iliyofanyika tar 24/8/2013 katika kanisa la Mt.Peters lililopo Oysterbay na baadae kufuatiwa na Tafrija iliyofanyika kwenye ukumbi wa Lugalo(Brigedia Mess) jijini dar es salaam
Yeromin akimvalisha pete ya ndoa Lizbeth
fi
Bw.Harusi na Bi.Harusi wakiwa na wazazi wao Giraffe Ocean view Hotel.
No comments:
Post a Comment