Location
Equipment
EguipmentII
tents, chairs and tents
tentschairsntables
Mobile toilets
Thursday, November 13, 2014
Harusi ya Emmanuel na Ikunda ilifanyika katika kanisa la Mt Gasper lililopo mbezi beach na sherehe ilifanyika katika bustani ya Shekina iliyopo mbezi makonde- Dsm.
Bibi harusi wetu Ikunda akiwa saluni.
Kanisani St Gasper
Pete kidoleni
Picha katika bustani
Mr & Mrs Emma wakiwa na wazazi
Bibi harusi akiwa na Matron saluni baada ya kurembwa
Just a pose. Nice one
Wednesday, November 5, 2014
Harusi ya James na Happiness. Ndoa ilifungwa katika kanisa la Mt Joseph lililopo posta na tafrija ilifanyika kwenye ukumbi wa Kristo Mfalme-Tabata jijini Dar es salaam.
Bibi harusi akiwa saluni
Matron baada ya kumaliza kupambwa
St Joseph Church
Wakiingia kanisani
Pete kidoleni
Picha za ufukweni
Mr & Mrs James wakikata keki
Hakika maids walipendeza haswaa
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)