Location
Equipment
EguipmentII
tents, chairs and tents
tentschairsntables
Mobile toilets
Friday, October 31, 2014
Send off party ya dada Happiness ilifanyika katika ukumbi wa Golden Jubilee Tower uliopo posta jijini Dar es salaam.
Happiness akiwa salun
Watoto wakiingia ukumbini kwa mbwembwe zote walipendeza sana.
Dada Happiness akikata keki
Mama mzaa chema
Akimvalisha mmewe mtarajiwa Kofia ya kifalme
Picha kwenye Red Carpet
Happiness akiwakabidhi wazaz wake keki
Wednesday, October 29, 2014
Kitchen party ya dada yetu mpendwa Happnes ilifanyika kwenye ukumbi wa Marantha msimbazi center.
Dada happy alipendeza sana
Nice smile
Akiingia ukumbini kwa shangwe na furaha
Dancing..
Dada Happy akiwamiminia wazazi champagne..
Akimlisha mama keki..
Akikata keki
Tuesday, October 28, 2014
Hiyo ilikuwa ni harusi ya Stanley na Upendo ilifanyika Moshi mkoani Kilimanjaro.
Pete vidoleni..
Picha kwenye bustani
Mr & Mrs Stanley
Hakika maids walipendeza sana
Nice pose..
Add caption
Picha kwenye red carpet..
Wakiwa na wasimamizi wao..
Waoo wamependeza sana..
Keki..
cheers..
Kukata keki sasa,,
Mr & Mrs Stanley wakikabidhi keki kwa mama..
Dancing time..
Newer Posts
Older Posts
Home
Subscribe to:
Posts (Atom)