Location

Location

Equipment

EguipmentII

tents, chairs and tents

tents, chairs and tents
tentschairsntables

Mobile toilets

Mobile toilets

Wednesday, October 30, 2013

Harusi ya Muyanga na Ruth ilifanyika kwenye ukumbi wa KILIMAKYARO Hotel Moshi, ndoa ilifungwa katika kanisa la Mfalme kristo Moshi mjini.

Bibi Harusi akipambwa saluni...


Ruth alipendeza sana..



Girls walipendeza pia..!



Wakielekea kanisani..



Pete kidoleni..

Maharusi wakitoka kanisani..


Hakika ukumbi ulipendza sana big up kwa mpambaji.



Kwenye msafara wa magari farasi nao wamo..
Mr & Mrs Muyanga Gama.



Kiss the bride...

Pozi ndani ya mobile studio..

Wakati wa kufungua Shampen..

Keki..
Makirikiri wakitoa burudani...


Saturday, October 19, 2013

Harusi ya Kenneth na Sumayi ilifanyika tar 12/10/2013 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee -VIP.., Ndoa ilifungwa katika kanisa la KKKT tanki bovu- Mbezi beach.







Bibi Harusi akiwa salun...



Bride and matron..


Bi Harusi wetu alipendeza sana..

Ndani ya gari kuelekea .....

Kanisani..-KKKT Tanki bovu-Mbezi beach.




Picha kwenye garden-Golden Tulip Hotel..

Golden Tulip Hotel..



Picha za mobile studio..


Mr & Mrs Kenneth Lusesa
Waooo....

Maids walipendeza sana...  



Boys nao pia walipendeza sana na black suit..

Kenneth katika pozi..



Vijana wakitoa burudani...

Wakati wa ndafu sasa...